Naomba ushauri na mawazo yenu

Naomba ushauri na mawazo yenu

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Naomba kuwauliza wanachuo hasa wa UDOM VP ikiwa mtu amekosa Mkopo je upo uwezekano wa kujisomesha mwenyewe?.namzungumzia mtoto wa mkulima hukooooo kijijini
 
kama hujapata mkopo unategemea nini kama si.kujisomesha mwenyewe ukishindwa kaa nyumbani
 
Naomba kuwauliza wanachuo hasa wa UDOM VP ikiwa mtu amekosa Mkopo je upo uwezekano wa kujisomesha mwenyewe?.namzungumzia mtoto wa mkulima hukooooo kijijini

Hauwezi kusoma chuo bila hela,kusoma pale kwa aina mbili Goverment sponsorship au Private Sponsorship so kama umekosa gov try priv.
 
Aise!bila mkopo au private sponsorship inabidi ujaribu kustrugle wewe mwenyewe.Otherwise unaweza ukakaa nyumbani ukapiga jembe kisha ukapata mkwanja kwa ajili ya mwakani.
 
unaweza kusoma kama unao huo uwezo wa kujilipia kila kitu au kama utapata mtu wa kusponsor
 
una weza kusoma under private sponsorship lakini wewe vyanzo vya fedha unavyo tegemea ndio muhimu kuvi weka wazi ili upate kusaidiwa kimawazo na wana JF
 
Back
Top Bottom