Naomba ushauri na meelekezo ya wapi nitapata pikipiki bora ya kike

Naomba ushauri na meelekezo ya wapi nitapata pikipiki bora ya kike

Mama Ray

Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5
Reaction score
1
Ndugu wadau wa JF nitaka kununua pikipiki ya kike nzuri so naomba mnielekeze wapi nitapata na ni aina gani nzuri. Kwa Dar es salaam.
 
Nenda kwenye ofisi za bajaj pugu road karibu na TCC chagua pale.Boxer nzuri tu
 
Back
Top Bottom