Pinda Nhenagula
Member
- Jan 26, 2019
- 87
- 113
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa.
Nimekuja na uzi huu ili kupata elimu kidogo kwenye hizi biashara za mtandaoni kama niza ukweli au la.
Ninataka kufanya check ya kuagiza simu aina ya Google pixel 4a kwa delivery za mikoani kutoka kampuni yoyote lakini sina uzoefu na pia siji amini.
Naomba maoni yenu au ushauri wenu kwa wale wazoefu jamani mnipatie mwongozo.
Nipo IGUNGA~TABORA.
Ahsanteni sana