Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha roho mbayaWakati unaanza ulituomba ushauri?
Kama sio kamali ni kitu gani ?ACHA KUBETI..KUBETI SIO KAMALI....BORA UCHEZE KAMALI ILA USIBETI....
Najua huta nielewa ila ukinielewa kidogo inatosha...
mfuasi wa Magufulo, mzee Baba hayupo, sasa wewe unamfuata nani kwa sasa?
Samiamfuasi wa Magufulo, mzee Baba hayupo, sasa wewe unamfuata nani kwa sasa?
Anae kuchezesha ukishinda anashinda ukishindwa anashinda...Kasome katika kamali za mashine kuna kitu kinaitwa Margin ukijua maana ya margin utaacha kubeti kwa mifumo inayo husisha compyuta....... bora ukacheze karata kitaaa....Kama sio kamali ni kitu gani ?
Amua tu kuacha yani ni uamuzi.Habari za muda,
Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza.
Japo nilishawahi kushinda nilibetia mpaka pesa ya michango kama Tsh. 90,000/- nikala Tsh. 180,000/- but nilikua sibet sana sababu shuleni unabanwa kutumia simu.
Nilivyofika chuoni ndio uraibu ukazidi baada ya kumiliki smartphone, nikawa mraibu sana wa kubeti nikahamia kwenye virtual bet mpaka Aviator la Sportybet nako nilipoteza tu.
Naombeni ushauri namna gani niweze kuacha kubeti maana najitahidi nashindwa.
Nadhani ameongelea zaidi kubeti yaani mechi za mpira wa miguuAnae kuchezesha ukishinda anashinda ukishindwa anashinda...Kasome katika kamali za mashine kuna kitu kinaitwa Margin ukijua maana ya margin utaacha kubeti kwa mifumo inayo husisha compyuta....... bora ukacheze karata kitaaa....
ACHA KUBETI..KUBETI SIO KAMALI....BORA UCHEZE KAMALI ILA USIBETI....
Najua huta nielewa ila ukinielewa kidogo inatosha...
Mimi nina elimu kubwa juu ya michezo ya kubahatisha ya mitandao...
Kama unapenda kucheza betting nenda kacheze karata ,au kamali zisizo husisha mashine na hesabu...
Katika mashine na hesabu hauta weza shinda labda dunia iumbwe upya...
Katika kamali za mitaani utashina sababu zinahusisha matukio na si hesabu...
Ngoja nikusaidie....katika kamali za compyuta tukio ambalo linauwezekano mkubwa kutokea linapewa kiasi kidogo cha ushindi na wachezesha kamali...na lile ambalo lina uwezekano mdogo kutokea linapewa kiasi kikubwa...Nadhani ameongelea zaidi kubeti yaani mechi za mpira wa miguu
Ni mashine na hesabu na sio bahati nasibu....Kwa hiyo mpira ni mashine au hesabu?
Hapo nime kupataNgoja nikusaidie....katika kamali za compyuta tukio ambalo linauwezekano mkubwa kutokea linapewa kiasi kidogo cha ushindi na wachezesha kamali...na lile ambalo lina uwezekano mdogo kutokea linapewa kiasi kikubwa...
Wakati katika maisha harisi ya kamali za bila kuhusisha kompyuta mfano za karata...ukiwa mnacheza na binadamu mwenzako...tukio lolote linapewa asilimia 50 ya ushindi...na 50 ya kupoteza
Hiyo ndiyo tofauti.....
Vipi na sisi tunao nunua utelezi, hela yetu haina kazi pia ?Kubeti ni dhuruma kama dhuruma nyingine....anayenufaika na mfumo wa kubeti ni mwenye kampuni ya kubeti....Hata hivyo hizi kampuni zimewekwa kukusanya pesa ambazo hazina kazi au matumizi...
Kwahiyo kama unaenda kubeti tafsiri ya kiuchumi hiyo pesa yako haina matumizi ni hela inayo zagaaa...Sawa tu na mtu anaye kwenda kunywa pombe kupata stimu....