Naomba ushauri nataka kuagiza gari aina ya Toyota IST

SBT/Beforward wote ni wazuri tu cha msingi unapochagua uwe makini waweza tumia zile filter ukachagua zenye 2WD only pia jitahidi kuangalia zenye km chache huwa naona ni bora zaidi
Kwaio ununue gari ya 12m+ halafu uongope kuweka bearing hata kama ni 200,000+?
 
NCP65 yenye 4WD achana nayo kabisa inasumbua,na pia unaponunua kama ni beforward kuwa makini kwani kuna gari hawasema kama ni 4WD au 2WD unanunua unakuta chuma kimefika ni 4WD
Naongeza kama anataka kujua IST ni 4WD au 2WD kwa picha tu mtandaoni aangalie bomba ya moshi ikiwa kushoto nyuma basi 4WD ikiwa kulia 2WD
 
asant mkuu nilokua cjui hii kitu
 
Nenda yadi tu hapo mkuu uwaungishe na jamaa.
Utaona chombo chako live unabeba unaondoka.
Kusumbuana na TRA huko utakesha,wameambiwa wajipimie.
 
Alafu onana na Selebonge pale Facebook fast food kino mpe buku 5 ya utumbo atatoa siri zote.gari unazoongea anauza kila siku.
 
MAREKEBISHO: IST Ni chombo cha usafiri. Hakijafuzu kuitwa gari. Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…