Naomba ushauri nataka kuagiza gari aina ya Toyota IST

Naomba ushauri nataka kuagiza gari aina ya Toyota IST

NCP65 yenye 4WD achana nayo kabisa inasumbua,na pia unaponunua kama ni beforward kuwa makini kwani kuna gari hawasema kama ni 4WD au 2WD unanunua unakuta chuma kimefika ni 4WD
Naongeza kama anataka kujua IST ni 4WD au 2WD kwa picha tu mtandaoni aangalie bomba ya moshi ikiwa kushoto nyuma basi 4WD ikiwa kulia 2WD
 
Unaposema old model hizo zote zitakuwa na features sawa isipokuwa kunakuwa na utofauti kidogo kutokana na gari ilikuwa inatumiwa hivyo kuna vitu huenda mtumiaji ameongeza.

Kiujumla kuna ist za aina tatu kutokana na code zake ncp60,ncp61 na ncp65.

NCP 60- Hii inakuwa na engine ya 2nz na 1290cc na nifront wheel drive.

NCP61-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na nifront wheel drive.

NCP65-Hii inakuwa na engine ya 1nz na 1490cc na ni 4wd.

Sasa hapo uzuri wa ipi ununue itategemea na matumizi yako
asant mkuu nilokua cjui hii kitu
 
Naongeza kama anataka kujua IST ni 4WD au 2WD kwa picha tu mtandaoni aangalie bomba ya moshi ikiwa kushoto nyuma basi 4WD ikiwa kulia 2WD
Mbona mm bomba lpo kulia na bado gar ina 4wd au
IMG20220115134041.jpg
 
Nenda yadi tu hapo mkuu uwaungishe na jamaa.
Utaona chombo chako live unabeba unaondoka.
Kusumbuana na TRA huko utakesha,wameambiwa wajipimie.
 
Alafu onana na Selebonge pale Facebook fast food kino mpe buku 5 ya utumbo atatoa siri zote.gari unazoongea anauza kila siku.
 
MAREKEBISHO: IST Ni chombo cha usafiri. Hakijafuzu kuitwa gari. Asanteni
 
Back
Top Bottom