Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Mtoa post asante kwa kuuliza. Nami umenisaidia kujua mawili matatu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaisahau na CCTV camera angalao mOk mkuu kama location inalipa jaribu kila kitu ni kuthubutu. Upatikanaji wa maji na umeme upo wa uhakika?
Vitu muhimu
-Mashine(hii ni bei not less than 1.2 nzuri)
-tank la maji (At least 3000L+)
-vacuum cleaner/woover
-vijana wa kazi( waaminifu sio vidokozi)
-viosheo kwa ujumla
Piga hesabu jumlisha na kodi halafu fanya maamuzi
Ya nin mkuu au ulinzi?Aaisahau na CCTV camera angalao m
Sasa si uongee Kiswahili tu ueleweke kuliko Kingereza cha Nusu mlingotiI dont advise on such a business. No future, kwamtaji ulionao you cannot make a difference maybe kama you really know what your doing. Fanya kitu ambacho una passion nacho ili usichime mtaji
Umekuaje kama Hana passion nacho toa BLA BLA zako hapa.... Sema changamoto ziko wapi watu wakusaidieI dont advise on such a business. No future, kwamtaji ulionao you cannot make a difference maybe kama you really know what your doing. Fanya kitu ambacho una passion nacho ili usichime mtaji