Naomba ushauri, nataka kuanza biashara ya kuosha Magari (Car Wash)

Aaisahau na CCTV camera angalao m
 
I dont advise on such a business. No future, kwamtaji ulionao you cannot make a difference maybe kama you really know what your doing. Fanya kitu ambacho una passion nacho ili usichime mtaji
Sasa si uongee Kiswahili tu ueleweke kuliko Kingereza cha Nusu mlingoti
 
Wote tunafanya kazi kwa ajili ya pesa, nipo hapa kijana mwaminifu, tufanye kazi, jambo muhimu ni uhakikishe sehemu hyo ina kazi nasi vijana wenzako tupate kuishi.

Nina kaelimu kidogo cha simamizi hela. Naweza kufanya jambo kwa uaminifu.
 
Naomba kuuliza swali moja, katika hii biashara ya car was nawezaje kuwalipa wafanyakazi ( waoshari ) wa gari kwa kila gari analoosha. Sina idea katika hili na nina kisanya data katika hili kutaka kufungua biashara hii
 
I dont advise on such a business. No future, kwamtaji ulionao you cannot make a difference maybe kama you really know what your doing. Fanya kitu ambacho una passion nacho ili usichime mtaji
Umekuaje kama Hana passion nacho toa BLA BLA zako hapa.... Sema changamoto ziko wapi watu wakusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…