Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used), nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza.
Nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii, pia kwa kwa walioko Dar es Saalam nauliza wapi wanauza chupa za kuwekea maji kwa anaye jua anijuze. Nilienda tbs wakaniambiea ili uje tbs lazima uwe na mtaji wa milioni 100, nikaambiwa nienda SIDO nikapewe utaratibu.
Naomba ushauri wadau.