Omar packaging ana deal na hizo water bottle na kuhusu wataalam unaweza kwenda chuo cha maji ubungo pale utapata mwongozo.Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used),nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza.nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii,pia kwa kwa walioko dar es saalam nauliza wapi wanauza chupa za kuwekea maji kwa anaye jua anijuze .Nilienda tbs wakaniambiea ili uje tbs lazima uwe na mtaji wa milioni 100,nikaambiwa nienda sido nikapewe utaratibu,naomba ushauri wadau
Vizuri sana, nimekupata mkuuChakufanya nenda katengeneze packaging, hapa unaweza kuwaona omar packaging wapo maeneo ya vingunguti au kiwanda kingine kipo kibaha;
Wakati huo huo peleka maji yako ambayo ni purified ,peleka maabara water test pale chuo cha maji wacheki minerals na ph , maji mazuri kama ph itasoma 7.0 , pia lazima uwe na chanzo cha maji cha uwakika kama ni kisima, etc
Pia angalie eneo la kujikita kama mitambo yako ni midogo angalia eneo ambalo unao uwezo wa kusambaza usitake kusambaza Tanzania nzima utashindwa biashara, so tafuta niche yako then come with intelligent marketing
Mfano ukienda Kigoma kuna maji yanaitwa Tanganyika, niche yake ni kigoma tu na anauza kweli kweli.
Ukiitaji huduma ya kuchimbiwa visima vya maji karibu sana. (declare interest)
Mkuu umeiweka vizuri sana hongera kwa hilo hivi katika kuchimba kisima nawezaje kujua kama nikichimba kisima napata maji ya chumvi kidogo au chumvi nyingi?Chakufanya nenda katengeneze packaging, hapa unaweza kuwaona omar packaging wapo maeneo ya vingunguti au kiwanda kingine kipo kibaha;
Wakati huo huo peleka maji yako ambayo ni purified ,peleka maabara water test pale chuo cha maji wacheki minerals na ph , maji mazuri kama ph itasoma 7.0 , pia lazima uwe na chanzo cha maji cha uwakika kama ni kisima, etc
Pia angalie eneo la kujikita kama mitambo yako ni midogo angalia eneo ambalo unao uwezo wa kusambaza usitake kusambaza Tanzania nzima utashindwa biashara, so tafuta niche yako then come with intelligent marketing
Mfano ukienda Kigoma kuna maji yanaitwa Tanganyika, niche yake ni kigoma tu na anauza kweli kweli.
Ukiitaji huduma ya kuchimbiwa visima vya maji karibu sana. (declare interest)
Kwa uelewa wangu mdogo.Mkuu umeiweka vizuri sana hongera kwa hilo hivi katika kuchimba kisima nawezaje kujua kama nikichimba kisima napata maji ya chumvi kidogo au chumvi nyingi?
Ahsante kwa ufafanuzi pia.Kwa uelewa wangu mdogo..
Unaweza chimba visima viwili vilivyokaribiana kimoja kiwe na maji ya chumvi na kingine kisiwe nacho.Nature ya miamba huko chini inatofautiana sana.Njia ya lazima kabla ya kuanza kutumia maji yakoni kupeleka sample maabara kwa ajili ya kuyapima.(vijidudu, kiwango cha chumvi na madini mengine).
Maji unaweza test yasiwe na ladha ya chumvi lakini yasifae kwa matumizi ya binadamu kulingana na viwango vya shirika la afya duniani.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Naomba mawasliano ya hawa omar package mkuuuChakufanya nenda katengeneze packaging, hapa unaweza kuwaona omar packaging wapo maeneo ya vingunguti au kiwanda kingine kipo kibaha;
Wakati huo huo peleka maji yako ambayo ni purified ,peleka maabara water test pale chuo cha maji wacheki minerals na ph , maji mazuri kama ph itasoma 7.0 , pia lazima uwe na chanzo cha maji cha uwakika kama ni kisima, etc
Pia angalie eneo la kujikita kama mitambo yako ni midogo angalia eneo ambalo unao uwezo wa kusambaza usitake kusambaza Tanzania nzima utashindwa biashara, so tafuta niche yako then come with intelligent marketing
Mfano ukienda Kigoma kuna maji yanaitwa Tanganyika, niche yake ni kigoma tu na anauza kweli kweli.
Ukiitaji huduma ya kuchimbiwa visima vya maji karibu sana. (declare interest)
Kwa dawa za kusafishia mitambo na ku operate pia nipo tayari nafanya water testing, water treatment waste water managemnet.Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used), nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza.
Nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii, pia kwa kwa walioko Dar es Saalam nauliza wapi wanauza chupa za kuwekea maji kwa anaye jua anijuze. Nilienda tbs wakaniambiea ili uje tbs lazima uwe na mtaji wa milioni 100, nikaambiwa nienda SIDO nikapewe utaratibu.
Naomba ushauri wadau.