Naomba ushauri nataka kuanza kuuza kompyuta na smartphones

Naomba ushauri nataka kuanza kuuza kompyuta na smartphones

pogba de zoom

Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
14
Reaction score
7
Samahan boss .. nilikua nahitaji kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kuuza compyuta pamoja na simu katika duka moja. ila nahitaji kupewa ata mwanga kuhusu iyo biashara katika vipengele vifuatavyo:

1. Kiasi cha mtaji kinachofaa kuanzia biashara hiyo.

2. Mkoa au eneo linalofaa kwa hiyo biasahara.

3. Eneo la kupata mzigo na vitu vingine naomba unielekeze tu nduguydngu kama utakua na ufahamu kuhusu hilo ndugu
 
Ukiwa na mtaji wa ml 50 tzs unatosha kwa kuanzia

Location Ni lazima iwe mjini kwa mkoa wowote utakao penda ila hasa kwenye majiji makubwa.

Mzigo unaagiza nje kwa jumla e buy,amazon,Al express au unaweza pia agiziwa na wafanyabiazshara wakubwa pale kkoo kwa makubaliano maalumu amani iwe nawe.
 
Asante sana nduguyangu
 
Back
Top Bottom