Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
•Iko hivi kwa faida ya wengine; Ukitaka kufungua ofisi ya namna hiyo kwenye eneo fulani basi kabla ya kufungua uwe mafund wako kabisa na uzungumze nao kwamba ndo mnaanza kazi kwahiyo kutakuwa kamsoto hivi. Kwahyo unachotakiwa kipind cha mwanzo kama utakuwa maeneo hayo kuwapa mafundi au fund pesa ya msosi n•k mpaka kazi zitakapo changanya ndani ya siku kadhaaa.Nimefungua iyo ya pikipiki yapata wiki ya nne sasa.... huwezi uza pasipo fundi na mafundi kwa eneo nililofungua n pasua kichwa hatari...
Lazima ujiulize kwann wanaondoka? Je hakuna kazi za kutosha kwasababu hata kama sehemu mpya, Basi kama kuna kazi za kutosha na chuma kama zote lazima fundi atavumilia tu!...Fundi wa kwanza kaganga mwisho kasepa... wa pili hajamaliza wiki kasepa... iv sasa nafikiria nitafute fundi na kumlipa ada ya usajili kama mpira wa miguu tu
Sasa hapo kama vp jaribu kuzungumza na fundi mzuri kutoka maeneo hayo hayo hata kwa dau aje kwako kama vp. Ila kingine uwe na subra!..Kazi zipo siwezi sema n nyingi sanaa... lkn zipo... na mara nyingi nikipita kwa majilan zangu naona vyombo vimepaki vinatengenezwa karibu kila muda ninaopita... lkn kwangu mm n holaa
Pole sana mkuu. Nimepambana sana kufuatilia machimbo ya spear za pikipiki, guta na bajaji kariakoo mwisho wa siku mafundi wamenidisapoint mpaka sasa nawaza kurudi dar hivi karibuni kutafuta chimbo za spea za magari nipunguze vikwazo kwenye biashara. Fremu nimeshaandaa iko tayari kuweka vitu lakini changamoto imetokea pale fundi alivyonifata anataka kunikopa 1.3ml anipe kadi ya pikipiki nibaki nayo auze pikipiki anikipe. Nimefuatilia nikabaini kwamba pikipiki ni ya mkataba bado anadaiwa hiyo kiwango anayohitaji kwangu. Fundi wapili nilitegemea afanye nje na nadani kumsaidia mke wangu kuuza mpaka ajue kipi ni kipi tulivyoongea nae pia akawa na stori hizo hizo kwamba bado hajamaliza kurejesha pesa ya pikipiki ya mkata aliyochukua huku akiniuliza afanyaje? Hii biashara kwa tafiti niliyofanya faida yake ni kubwa kwa baadhi ya vipuri 35%,45 na 65% kulingana na bei za sokoni kwa wa Arusha nilipotaka kufungulia duka lakini kilichonishinda ni kuwekeza zaidi 30ml kwenye biashara inayotegemea mtu wa tatu (fundi) ambaye iko siku anaweza kuamka akabadili mawazo aidha kutokuingia kazini au kuhama kijiwe. Kuwa makini na hawa vijana wa sikuhizi pasua kichwa sana pale wanaojua unamtegemea yeye 100% bila yeye hufanyi kitu. Biasha hii ni nzuri sana kwa fundi mwenyewe wa pikipiki.Kazi zipo siwezi sema n nyingi sanaa... lkn zipo... na mara nyingi nikipita kwa majilan zangu naona vyombo vimepaki vinatengenezwa karibu kila muda ninaopita... lkn kwangu mm n holaa
Uko na connection ya wholesale ya Honda Ace 125Vipuri vya pikipiki:
Cha kwanza inategemea na mahali unapotaka kufungua hiyo biashara kwa maana aina ya pikipiki zinazopatika kwenye hilo eneo mfano boxer, TVs, Gn( Fekon,Sun lg, kinglion, haoujue n•k).
Pia upatikanaji wa spare kwa bei ya jumla kwenye mkoa wako ndiyo utakaoamua ni mtaji kiasi gani kuwa.
n•b Eneo lenye mchanganyiko wa pikipiki tofauti tofauti(rejea kifungu no 1 aina ya pikipiki) ndilo litakufanya na wewe kidogo upasuke mfukuni ili kuendana na mahitaji ya wateja wako.
Kuhusu vimiminika lazima uwe navyo mfano oil, mafuta ya brake, hydraulic fluid.
Ila cha kuzingatia zaidi fanya kupata ushauri kutoka kwa mafundi walioko kwenye eneo unalotaka kufungua biashara yako.
Hapana ndugu mimi najishughulisha na hizi tukutuku zetu za kila siku. Ila nakushaur uende k/koo au Arusha kwa pkpk za aina hiyo utapewa vifaa vyakeUko na connection ya wholesale ya Honda Ace 125
Arusha kuna mahali wajua wanauza spare za hizi pikipikiHapana ndugu mimi najishughulisha na hizi tukutuku zetu za kila siku. Ila nakushaur uende k/koo au Arusha kwa pkpk za aina hiyo utapewa vifaa vyake
Biashara inaendaje Kwa sasa mkuu?Nimefungua iyo ya pikipiki yapata wiki ya nne sasa.... huwezi uza pasipo fundi na mafundi kwa eneo nililofungua n pasua kichwa hatari...
Mtaji shilingi ngapi umeanza nao naomba nicheki 0784512194Duh pole Mkuu
Nini changamoto