IZENGOB
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 323
- 317
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo?
Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k pia kama kuna biashara nyingine halali naweza kufanya inayoweza kunipa faida nzuri?
Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k pia kama kuna biashara nyingine halali naweza kufanya inayoweza kunipa faida nzuri?