Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

Agiza nje mashine kama printer, lamination na etc. Utaweza nunua kwa bei nafuu sana kuzidi huku kama hauna haraka maana mzigo kutokea nje utachukua mpaka mwezi kufika kwa meli
Connection za kuagiza mizigo nje ni ishu mkuu
 
Back
Top Bottom