Engine zake zinahitaji matunzo ya Hali ya juu ikiwa ni pamoja na kufanya service ya uhakika kuanzia gear box na engine.
Pia engine yake ya 3sz yenye cc 1490 inahitaji ubebe abiria wasizidi 4,ingawa hii gari ina space kubwa Kwa family usizidishe abiria wengi kufanya hivyo utaichokesha engine na body.
Kumbuka kuwa engine yake ni modified kutoka Kwa Toyota caldina ingawa caldina ilikuwa roho ya paka Ila hizi engine za rush imebadilishwa vitu vingi.pia kuhusu fuel consumption haina shida kabisaaa utafurah kwasabb ni engine ndogo.
Nakushauri kama Una pesa chukua Tu Ila usinunue Kwa mbongo ni afadhal uagize kutoka Japan