Naomba ushauri: Nataka kununua Toyota Rush

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
Wakuu naomba msaada wenu nina nia ya kununua Toyota Rush muda wowote kuanzia leo, naomba msaada mkubwa kutoka kwenu je hizi rush ni nzuri kwa matumizi? Kuna mtu kanivunja moyo anasema tatizo hizi gari ni gia box ni kweli?

Shukran kwenu wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua Chombo Hicho Kiko Sawa Sawa
Acha Miruzi Mingi Humpoteza Mbwa
Agiza Mashine Leo Leo
 
upeo,
Old model au new model?
Ila pia nakushauri unapotaka nunua kitu ingia mitandaoni ktk forums tofauti hata za huko kwa wenzetu uwasikie wanasemaje kuhusu kitu husika. Ukichanganya na mawazo ya humu unafanya maamuzi sahihi.
 
Engine zake zinahitaji matunzo ya Hali ya juu ikiwa ni pamoja na kufanya service ya uhakika kuanzia gear box na engine.
Pia engine yake ya 3sz yenye cc 1490 inahitaji ubebe abiria wasizidi 4,ingawa hii gari ina space kubwa Kwa family usizidishe abiria wengi kufanya hivyo utaichokesha engine na body.

Kumbuka kuwa engine yake ni modified kutoka Kwa Toyota caldina ingawa caldina ilikuwa roho ya paka Ila hizi engine za rush imebadilishwa vitu vingi.pia kuhusu fuel consumption haina shida kabisaaa utafurah kwasabb ni engine ndogo.
Nakushauri kama Una pesa chukua Tu Ila usinunue Kwa mbongo ni afadhal uagize kutoka Japan
 
Asante mkuu

Back
Top Bottom