Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Habari zenu!
Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina mtaji, hivyo nikafikiria nimrudishe home kwanza mke wangu ambaye pia ni mjamzito, akajifungulie huko na kusubiri mambo yangu yakae sawa,. Plan yangu ni kuuza kila kitu cha ndani kwangu halafu nihamie tu kwenye single room bei chee, kisha niache na kazi ili nichukue mafao yangu baada ya miezi 3, nikijumlisha hizo pesa inatosha kununulia vifaa vya kazi na kurent ofisi mjini, mnanishaurije? niko Arusha.

pamoja na kuwa biashara lazima uwe risk taker lakin wewe ni mcheza kamali.Usipoangalia unaweza ukachanganyikiwa.
Usiache kazi pia usiuze vitu na usimrudishe mke.Endelea kuzichanga kwanza maana nilichokuona ujajiandaa bado unataka kukurupuka.
Mkuu unampango Wa kwenda Thailand lini?
niko marekani sasa nitakuwa kama mwezi mwezi harafu ndio nitapanga nin kitafuata
Naomba nr. Yako pm mkuu Kama hutojali...
Poa ngoja nikirud Afrika
Nitakuwa marekani mda si mrefu ndo maana nikakwambia hivyo...
unataka kuja jimbo gani? we ukikata ticket nijulishe