Naomba Ushauri, nataka kuuza kila nilchonacho ili nifungue biashara

Naomba Ushauri, nataka kuuza kila nilchonacho ili nifungue biashara

poa utanishtua mi nipo.Sasa hivi mida tu ya usiku saa nne kasoro 5 bado niko macho

OK nitahitaji tuongee mambo ya Thailand kwa urefu kwakuwa Una experience...

Nataka wekeza mtaji kwa biashara so natumai tutaongea vizuri....

Haya huku ni usiku Mnene Sana kila la kheri...

Wasalaaam...
 
Habari zenu!

Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina mtaji, hivyo nikafikiria nimrudishe home kwanza mke wangu ambaye pia ni mjamzito, akajifungulie huko na kusubiri mambo yangu yakae sawa,. Plan yangu ni kuuza kila kitu cha ndani kwangu halafu nihamie tu kwenye single room bei chee, kisha niache na kazi ili nichukue mafao yangu baada ya miezi 3, nikijumlisha hizo pesa inatosha kununulia vifaa vya kazi na kurent ofisi mjini, mnanishaurije? niko Arusha.

Rekebisha Kichwa Cha Habari,mimi Nilijua Unauza Hadi 0713@, ungeweza kuandika hv, "Nataka kuuza samani zangu nifungue biashara naombeni ushauri wenu."
 
Rekebisha Kichwa Cha Habari,mimi Nilijua Unauza Hadi 0713@, ungeweza kuandika hv, "Nataka kuuza samani zangu nifungue biashara naombeni ushauri wenu."

Jiheshimu kidogo, heshima hainunuliwi bali ukiipoteza ni vigumu kuirudisha.
 
Think twice before you decide,know the problem then find soltn to the problem.I think the problem at hand is Capita, then search for sources of financial institutions or collaborate with pp who've capital.
Km uko Marekani utaelewa ninacho maanisha.
 
Think twice before you decide,know the problem then find soltn to the problem.I think the problem at hand is Capita, then search for sources of financial institutions or collaborate with pp who've capital.
Km uko Marekani utaelewa ninacho maanisha.

Ameshasema yupo Arusha!!! au unataka kumuonyesha unajua sana mambo ya Americanaaa...!!!
 
Wazo zuri ila ktk business kuna risks & other unknown circumstances so angalia usije OnGeA peke yako njiani!
 
Mkuu wazo lako ni zuri sana, moja wapo ya vitu vya kutolea maamuzi magum ni kama hivi, ila nafikiri je umefanya utafiti wa kutosha katika biashara hizo? umeangalia biashara unayotaka kufanya itagharimu mtaji kiasi gani? uko benk una kiasi gani? kumbuka biashara wakati mwingine haiitataji mtaji mkubwa. unaweza kuacha kazi, ukatumia hela ndogo uliyo nayo na hata vitu vya ndani usiuze vyote, unaweza kuuza kidogo uka anza biashara uku ukiwa na mtazamo chanya.

suala la kuacha kazi ni kweli linaletega mawazo sana. hata mimi nilipata shida sana kuacha kazi, kipindi hicho ndipo utasikia watu wanakubeza n.k, pia fuatilia kuona kama kuna uwezekano wa kupata mafao yako mapema kabla ya kuacha kazi. mfano kama mafao ya NSSF wakati mwingine hayachelewi. jiridhishe kwanza kabla ya kuacha kazi. ila kumbuka wazo lako linaitaji maamuzi magumu ambayo ukisha yafanya utakalo kutana nalo liwe zuri au baya ulipokee. usije ikatokea hata siku moja ukayajutia maamuzi yako. nikiwa nimetulia vizuri nitakupa ushauri zaidi muda huu siko sehem nzuri. Mungu akusaidie.

mkuu nami niko kwny wakati mgumu.. nataka kuacha kazi nijiajiri
 
""WARREN BUFFRET""

.. ON TAKING RISK: Never test the depth of river with both feet

...ON INVESTMENT : DO not put all eggs in one basket

.. ON EARNINGS : NEVER DEPEND ON SINGLE INCOME , CREATE INVESTMENT TO MAKE ANOTHER SOURCE (USIACHE KAZI KWANZA ILA ONGEZA CHANZO KINGINE CHA KIPATO)
 
Paper work inakudanganya ee. Japo inaweza kufanya kazi vizuri.
Ingia kwenye real situation uone pepar work inavyofail.
 
Back
Top Bottom