misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Mimi ni mjasiriamali wa biashara ndogo(small scale) nataka ku transform to large scale businesses.kwaiyo nimeplan kuanzisha kiwanda kidogo cha kuzalisha unga wa sembe na ngano au pure drinking water. Sasa nahitaji msaada wangu nahitaji ipi biashara ya kuanza nayo kati ya izo na profit margin yake ipoje kati ya izo businesses?? Msingi ninao