Naomba ushauri: Nataka niwaunganishe wauzaji na wanunuaji wa mazao na mifugo kwa njia ya mtandao

Umefikia wap
 
Wazo zuri sana !!! Changamoto utakayokutana nayo ni kwamba wakulima walio wengi hawajaelewa matumizi ya Internet !!! Lakini waweza kuanza taratibu na wazo lako likafanikiwa !!!
Wakulima gani hao unaowazungumzia ambao hawajui matumizi ya internet!
 
Kwa wazo lako hilo hakikisha unafanya promotion nje ya mtandao mana ndiko wakulima wapo
Inabidi uwatafute kwanza wakulima waweze kupost bidhaa zao kabla ya wanunuzi
lakini pia sijui wewe utakuja na kitu gani cha kitofauti kitachowapa faida wakulima mana hawa wakulima wengi hivi vitu vya kuuza bidhaa mtandaoni bado kwahiyo unakazi yakuwabadilisha watu
 
Maswali ya kujiuliza kabla ya kujikita kwenye IDEA yako kwa 100%:
1. Je kuna hali ya ucheleeshwaji katika malipo kwa wakulima na wafugaji?
2. Je madalali wanachukua % ngap wakishauza mazao au mifugo?
3. Je gharama ya usharishaji wa mazao au mifugo inawagharimu sh ngap wakulima na wafugaji kupeleka soko husika?
4. Ni changamoto gani kubwa inayowakabili wakulima na wafugaji ukiachana na maswali 1, 2, 3 hapo juu.
 
Nimeona Lakin Mmetoa Bei tuu za mazao katika market mbalimbali za mwanza, Lipitie wazo langu vizuri ulielewe mkuu
Yaani mkuu jinsi unavyoielezea hiyo biashara yako utafikiri sijui ni very unique idea ambayo no one had ever implemented. Sikia idea yako sio mpya ni idea ambazo hata hapa tz tayari kuna watu washaanza kufanya na tayari naweza sema ni biashara yenye competitors tayar so labda cha kufanya ni wewe kuleta utofauti wako katika hiyo site yako lakini in short hii ni E-commerce km zlivyo ecommerce zingine zozote utofauti ni kua hii ime base kwny agriculture industry. Kila la heri mkuu ukihitaji wataalam wa kilimo tupo!
 
Habari wana JF

@computerengineer
kitu kikubwa unatakiwa kutenga mda kidogo kufanya utafiti na pengine hata kuwatembelea hawa wakulima na wafugaji kuelewa mazingira yao. Mfano unaweza kufanya assumotions kwamba wana access na internet kumbe ukifika unakuta ni basic phone. Pia kuwatembelea unaweza kujua jinsi wanavyozitumia simu zao kwenye biashara yao ya kilimo ua ufungaji. Kwa kufanya hivyo utapata picha halisi ya wapi uanzie.
 
suala la penetration ya smartphone si kweli. Mjini tu bado watu wengi bado wanatumia basic feature phone. Na pia adoption ya smartphone inategemana na umri na elimu. Ukitaka kujua bado ni ndogo anza na madereva wa boda boda au mama Ntilie. Utajua smartphone si kila mtu anayo. Mimi ni mtaalamu wa Technology For Development kwa hiyo naelewa hali halisi. Kuna mtu amaetengeneza portal inaitwa nauza.co.tz. Alichofanya ni kwamba ameintegrate USSD na Web na nadhani amewaza kuhusu changamoto ya wakulima wengi kutokuwa na smartphone. Hii ni idea nafikiri imekuwa funded na Data For Local Impact Innovation Challenge.
 

nauza .co .tz mbona haipo online
 
GREAT IDEA MY BRO, i think we can do something together tho on a large scale,i wish we had such people like you with such ideas, this world is moving very fast an E-COMMERCE and digital world are becaming king,
 
Idea is only 20 percent...Execution ndo ina matter. Kwa hiyo if you think your idea is innovative enough, it will be hard for people to copy it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…