Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mkuu inaweza kuwa msaada sana. Nina mpango wa kuingia shamba muda si mrefu lakini nimekua nikijiuliza sana suala la kupata masoko ya uhakika pale mazao yangu yatakapokua tayari. Unadhani kama mfumo wa online market utakuwepo si itakua rahisi sana.
Cha msingi publicize ufahamike kwa wote wakulima na wanunuzi. Itakua rahisi mengine utakua unaongezea mbele kwa mbele huko.
Cha msingi publicize ufahamike kwa wote wakulima na wanunuzi. Itakua rahisi mengine utakua unaongezea mbele kwa mbele huko.