Naomba ushauri ndugu zangu!

RC.

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
444
Reaction score
41
kwa muda mrefu nimekuwa na shauku ya kufanya biashara, hapa nilipo nina mtaji wa milioni moja. kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa. naombeni ushauri kwa pesa hii nifanye biashara gani ambayo itafaa na kunitoa?
 
Umesema umekuwa na shauku ya kufanya biashara,sasa lazima utakuwa na Ideas zako binafsi kwanza za biashara ipi unaipendelea,hiyo itakuwa rahisi kwa wanajamii kukuchangia kupitia wazo lako kwanza.
Kwanza ni bora kujua kwamba unaishi mkoa gani
-Umewahi kufanya biashara gani
-Unapenda kufanya biashara gani
-Una ndoto zipi kwenye biashara katika maisha yako
 
Nashukuru kaka, mimi niko Moshi-kilimanjaro,sijawahi kufanya biashara yoyote,mimi napenda kufanya biashara ya duka au kuuza nguo,ndoto zangu ni kumiliki maduka makubwa ya nguo na maduka ya vifaa vya ujenzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…