Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kaka, mimi niko Moshi-kilimanjaro,sijawahi kufanya biashara yoyote,mimi napenda kufanya biashara ya duka au kuuza nguo,ndoto zangu ni kumiliki maduka makubwa ya nguo na maduka ya vifaa vya ujenzi!Umesema umekuwa na shauku ya kufanya biashara,sasa lazima utakuwa na Ideas zako binafsi kwanza za biashara ipi unaipendelea,hiyo itakuwa rahisi kwa wanajamii kukuchangia kupitia wazo lako kwanza.
Kwanza ni bora kujua kwamba unaishi mkoa gani
-Umewahi kufanya biashara gani
-Unapenda kufanya biashara gani
-Una ndoto zipi kwenye biashara katika maisha yako