Naomba ushauri ndugu zangu

NURDIN.HAMIS

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
79
Reaction score
5
Nimepata mtu wa kunirudisha chuo tena baada ya mwaka jana kuishia diploma one kwasababu za kiuchumi kwani nilifiwa na baba sasa insu iko hivi huyu mtu anaetaka kunirudisha chuo kanipa option mbili yaani nichague anisomeshe account au procurement nichague 1 sasa cjui nichague kozi ippi ndg.zangu naomba kuwasilisha.
 
me nadhan haja ya kuchagua unayo wewe nn unapenda ktk moyo wako ila kwa nin akulimit ktk hzo2 nadhan kuna sababu hujaziweka waz me ninadhan angekupa uhuru uchague ktu unapenda mbal na hzo 2 ndipo ingefa zaid mana k2 ukipende ok,mwombe akupe choice kama hzo 2 hupen
 
Kanambia lazima nisome account ili pia niwenamsaidia ktk biashara zake huyu jamaa ni anko wangu kabisa lkn pia kasema hatonikataza kuomba kazi,sehemu zingine na mipango yote kaisha fanya ya kusoma t.i.a compas ya dar na imeshakamilika..
 
Kanambia lazima nisome account ili pia niwenamsaidia ktk biashara zake huyu jamaa ni anko wangu kabisa lkn pia kasema hatonikataza kuomba kazi,sehemu zingine na mipango yote kaisha fanya ya kusoma t.i.a compas ya dar na imeshakamilika..

basi haina jinsi nenda kasome ukaze buti huko
 
Nenda kasome anayotaka yeye. Kwanza mtu kukusomesha tu miaka hii, ni msaada tosha. Na inaelekea anajua nini anachofanya, so unaweza pewa ajira. Ukiwa college usiuze nyago.
 
kumbuka kubweteka ukienda chuo, sawa kijana? maana hamchelewagi nyie mnaosomeshwa...

kuna wenzenu huku wameishia kuvutishwa bangi, kunyweshwa pombe na kuibiwa personal properties zikiwemo laptops sababu ya umbumbumbu na kujiona kuwa they pay nothing to get something... mwisho wa siku wafadhili wakakata kamba, vyuo navyo visivyo na mizaha, unaitwa tu kupitia notice board, unakufa kimya kimya!

kasome kama mtihani wa semester ni kesho...

Mkumbuke na muumba wako kwa kufungua geti la chuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…