NURDIN.HAMIS
Member
- Mar 9, 2013
- 79
- 5
Nimepata mtu wa kunirudisha chuo tena baada ya mwaka jana kuishia diploma one kwasababu za kiuchumi kwani nilifiwa na baba sasa insu iko hivi huyu mtu anaetaka kunirudisha chuo kanipa option mbili yaani nichague anisomeshe account au procurement nichague 1 sasa cjui nichague kozi ippi ndg.zangu naomba kuwasilisha.