Naomba ushauri: Ni exposure ipi ya HIV ni hatari kwangu?

Miaka 7 dalili zingekua zishaanza kuonekana. Uko salama kabisa.
 
Hivi ukiwa unatumia PEP,,,, unaruhusiwa kunywa POMBE.....???
 
PEP ni sawa na ARVs
PEP ni ARvs
huyu ambaye amefanya ngono isiyo salama ndani ya masaa 72 akitumia Arvs kwa mwezi mmoja ndio tunasema PEP
lakini yule ambaye atagundulika teyari anamaambukizi ndio atatumia hizo ARVs maisha yake yote.
 
Dah unaonekana wewe ni muoga Sana!sio lazima upate maambukizi unapokutana na mtu mwenye virusi...watu waliotumia ARVs kwa usahihi zaidi ya miezi 3 ,asilimia kubwa huwa hawaambukizi partners wao
 
Mrejesho vip
Mzee ni wew nin...maana nawew na ile kipimo chako cha mistar miwil mrejesho hujaleta....kwahyo unamskilizia mwenzio

Ila watu mnato.mbana saana jaman.halaf kavu...mbona hatar sana wakuu

Mbona mi siwez risk maisha hvyo..au ngono kwangu si muhim kama wengne nn
 
Strain ya HIV iliyoko sasa ni weak sana, huwezi linganisha na zile za miaka ya 80,90,
Saa hizi HIV ni kama mafua tu
 
Mkuu mim sinilileta mrejesho wakukomfem majibu
 
H a ha ha hivi kumbe kusimamia ukucha ndio chanzo cha kunasa wadudu toa io elimu vizuri mkuu kumbe wazee wa sekunde 5 hawana hatari yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…