Nina mchumba mwingine tayari. Inamaana kama huyu akipata mimba itabidi nimuache yule niliyemtolea mahari nimuowe huyu!!! Hii mbona itakuwa hatia kubwa sana?Anza kuweka akiba ya diapers na mtaftie bima ya kujifungua, pia watoto ni zawadi na usiwaze maana hyo starehe yenu wawili