Naomba ushauri, nimeharibu mahali

Naomba ushauri, nimeharibu mahali

Huu ndio muda sahihi sasa wa wewe kukaa na huyo binti mumchagulie mtoto wenu jina.

Ushauri wangu;-

Akiwa babygirl muiteni Dorothy
Akiwa mwamba muiteni Mwigulu

Ni ushauri tu mkuu, maamuzi ni yenu. Mnaweza muita hata Nchemba. Hili ni unisex
Hapa nimechanganyikiwa mkuu, acha masihara.
 
Mkuu umetoa mahali mwezi Wa 7 unaoa mwezi Wa 11 kwangu mimi palefu sana
 
Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu.

Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku za hatari.

Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu. [emoji120][emoji120]
Yaani Siku hata haijachanganya ushangonoka ,umetenda kabla yakufikir
 
Nina mchumba mwingine tayari. Inamaana kama huyu akipata mimba itabidi nimuache yule niliyemtolea mahari nimuowe huyu!!! Hii mbona itakuwa hatia kubwa sana?
Kwani ulipokuwa unafanya hivyo nani ulimkopesha akili yako?

Jiandae kisaikolojia, huyo ndo mkeo uliyejichagulia mnyewe! Huyo uliyemtolea mahari hesabu ni hisani!

Afu unajua una bonge la zali la mentali, ww watu wanaoana miaka na miaka mechi zote wanacheza bilabila...hakuna mtoto...ww kimoja tu tayari...embu kwendra huko ww jiandae kuitwa baba 'with pride😜!
 
wewe ni mgeni kwenye mapenzi?? kabla ya tendo mlipima HIV ok subiri kutumia ARV
 
Nina mchumba mwingine tayari. Inamaana kama huyu akipata mimba itabidi nimuache yule niliyemtolea mahari nimuowe huyu!!! Hii mbona itakuwa hatia kubwa sana?
Kwani ulipokuwa unafanya hivyo nani ulimkopesha akili yako?

Jiandae kisaikolojia, huyo ndo mkeo uliyejichagulia mnyewe! Huyo uliyemtolea mahari hesabu ni hisani!

Afu unajua una bonge la zali la mentali, ww watu wanaoana miaka na miaka mechi zote wanacheza bilabila...hakuna mtoto...ww kimoja tu tayari...embu kwendra huko ww jiandae kuitwa baba 'with pride😜!
 
Huu ndio muda sahihi sasa wa wewe kukaa na huyo binti mumchagulie mtoto wenu jina.

Ushauri wangu;-

Akiwa babygirl muiteni Dorothy
Akiwa mwamba muiteni Mwigulu

Ni ushauri tu mkuu, maamuzi ni yenu. Mnaweza muita hata Nchemba. Hili ni unisex
😂😂 uzi uishie hapa tu, asipoelewa basi
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Back
Top Bottom