Naomba ushauri, nimeharibu mahali

Asubuhi mpaka sasa hujachelewa sana.. Nitafutie nguo ya ndani mliyofutia
 
Huu ndio muda sahihi sasa wa wewe kukaa na huyo binti mumchagulie mtoto wenu jina.

Ushauri wangu;-

Akiwa babygirl muiteni Dorothy
Akiwa mwamba muiteni Mwigulu

Ni ushauri tu mkuu, maamuzi ni yenu. Mnaweza muita hata Nchemba. Hili ni unisex
Dorothy huyu huyu shemeji yake gwajima?
 
Reactions: Pep
Tulia atakuja jitambulisha mwenyewe kwa wazazi wako kama ww ni muhusika
 
kwani shida nn mkuu?? mimba ikiingia si unalea mimba anazaa mnalea mtoto basi kwani kuna kikubwa kipi cha kuombea ushauri?? mi nkajua labda kuna bonge la tatizo
 
Hongera mzee,acha uoga...
 
Mahari nimetoa kwingine na mimba nikaweka kwingine... Huu ujinga sitaakaa nirudie.
 
Ni vizuri kupima kwanza kama kweli anayo mjiandaye mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…