Naomba ushauri, nimwache au niendelee


Ingia mitini haraka sana! Na ulikubalije kufungiwa ndani ya nyumba kwa siku nzima!? Duh! haya mahusiano mengine yana utata wa hali ya juu. Mwenzio anakwambia usije basi hapo ndipo unatupa jongoo na mti wake na kuanza moja.
 
Huyu mwache tu..
Walokole (si wote) wanafiki sana wanamuogopa mchungaji kuliko mungu.

Kha! Pole kaka
 
bwegebwege
 
Mie naona unajipa mateso ya bure. Dawa ni kumuoa tu, utaenda kwa amani unless utuambie hataki ndoa.
 
Kweli aisee bora jaribu umuoe labda makali yatapungua
 
Kuna uwezekana kuwa anawaogopa majirani zake maana wanamwona kaokoka. Kwa sababu kulingana na imani ya dini yake, kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni dhambi. Utakuwa unafahamu au kusikia kuwa hata kabla ya dini za Kizungu kuingia nchini, Babu na Bibi zetu walikuwa hawafanyi kabla ya ndoa. Na wakati huo, kwa baadhi ya jamii ukimpatia mimba binti mnawekwa njia panda na kuawawa ili iwe fundisho kwa watu wenye tabia kama yenu. SASA KWA KUWA UNAFAHAMU KWA UNAIBA, VUMILIA TU. Lakini na wewe unasubiri nini? Kama huyo mrembo amemaliza chuo na ajira amepata, tangaza ndoa na utuombe michango.
 
Sasa si bora huyo msichana akatae kabisa kumkaribisha kama anafata dini kuliko kujidanganya nafsi yake
 


Kicheche huyo anaogopa utfahamu anayoyanya huko nje!!!!! hivi na wewe una umri gani hadi unakubali kufungiwa ndani?????😛ound:

 
Umeshajiuliza kama kweli ni mchumba wako na hataki kukuonyesha kwa watu, umtakapofunga ndoa itakuwaje? utaendelea kufichwa hiv yo hivyo au?

Majibu ya maswali haya yanaweza kukupa picha ya nini cha kufanya! Pole
 
<br />
<br />
My take:huyo sio MCHUMBA bali ni BIBI JELA kama sio NYAMPALA,mapenzi gani ya kufungiwa ndani kisa kuna watumish wa kanisa watakuona?mimi nadhani anamahusiano na mtu mwingine,na anampenda na kumuheshimu kuliko wewe ndo mana amedirik kukutendea hayo.nadhani safari ingine utafungiwa BAFUNI AU CHOONI.cha kukusaidia ni kujiongeza,mean mbio ndo zitakazokusaidia
 
Sasa si bora huyo msichana akatae kabisa kumkaribisha kama anafata dini kuliko kujidanganya nafsi yake

Gaga, dhambi ya uzinzi ni utumwa wa kwanza huyu jamaa amejipa ata kabla ya kufungiwa ndani! huwezi kuwa vuguvugu...chagua moja! koz kama nimemwelewa vizuri huyu jamaa, binti hawezi kumruhusu waonekane wanalala nyumba moja kwa sababu watu wa nje wanadhani ameokoka..hivyo inabidi amfungie ndani. Na kwa sababu tayari hiyo dhambi imeshamfunga, anaipenda pia yeye..so ni heri amzuie jamaa kuja au amfungie (koz mshkaji aling'ang'aniza kwenda!)lol
Bandugu..acheni uzinzi..tulieni, mpange ndoa..muoane...mu-enjoy!!!!!!!
mungu awatangulie...
Otherwise nitarudia Mithali6:32 "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake"
 
Sawa ni dhambi ila mwanamke angeweza kumzuia kabisa yule mwanaume asifike nyumbani kwake kama ameokoka. kung'ang'ania kwa mwanamme sio sababu ya yeye kumkaribisha na kumfungia ndani
 
Kaa nae mzungumze maswala ya mapenzi, akikwambia yeye ni Bikra basi relax mpaka cku ya kufunga ndoa. Akisema hana basi chapa lapa manake hata akikwambia ameokoka utamwaminije wakati hana na bado anakunyima tunda. Pia mwambie apunguze masharti ya kukufungia ndani kwani swala la kuwa na mchumba siyo dhambi.
 
Soma vizuri God keshakula weee then akastopishwa kwa kuwa ameokoka, hapo chacha
 
Sawa ni dhambi ila mwanamke angeweza kumzuia kabisa yule mwanaume asifike nyumbani kwake kama ameokoka. kung'ang'ania kwa mwanamme sio sababu ya yeye kumkaribisha na kumfungia ndani

Gaga...ameng'ang'ania...ynai kaambiwa we usije maeneo ya home koz wa2 wanajua nimeokoa full! yeye kajifanya kidume kaenda..ata mimi ningemfungia ndani!!!
 
Ya leo kali!!!
Pole sana na kugeuzwa mfungwa!Amua umvumilie au umpotezee...

Kukimbia sio kumaliza tatizo, hisia zilezile maumivu yaleyale. Hapo inatakiwa wakae na kiongozi wa dini wapate mafundisho ya RELATIONSHIP BETWEEN LUV AFFAIRS AND RELIGION Maana conflict of interest ipo inaonekana mwanaume anapenda aonekane kuwa anampenzi na mwanamke anataka aonekane malaika na mapenzi bila ndoa wengi huita uhuni na uzinzi uma***(sipendi kutamka neno hili)
 
mapenzi aisee ni kama uchizi, yani jamaa umekuwa mtumwa na mfungwa sababu ya kupenda?
pole sana, nahisi selo yako ni namba 69.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…