BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye akiondoka alikuwa anafunga mlango. Nisaidien wadau inaniuma sana. NASHINDWA KUELEWA KAMA AMEMPATA MWINGINE AU LAA_UCHUMBA UNA MDA WA MWAKA MMOJA NA NUSU. THIS IS TRUE I AM NOT JOKING LADIES AND GENTLEMEN
Ingia mitini haraka sana! Na ulikubalije kufungiwa ndani ya nyumba kwa siku nzima!? Duh! haya mahusiano mengine yana utata wa hali ya juu. Mwenzio anakwambia usije basi hapo ndipo unatupa jongoo na mti wake na kuanza moja.