Naomba ushauri, ninapata hali ya mapigo ya moyo kwenda mbio

Naomba ushauri, ninapata hali ya mapigo ya moyo kwenda mbio

Pole! Kwa uzoefu wangu kama unahisi maumivu ya kifua pamoja na dalili nyingine alizoainisha mwenye uzi huu( mapigo ya moyo kwenda mbio).Hizo ni dalili mojawapo za mshituko wa moyo.Wagonjwa wengi wanaoata tatizo la moyo huonyesha dalili hizo za awali! Na kama itakuwa ni hivyo kama hautatibiwa mapema au kutokupata tiba sahihi maumivu hayo yanaweza kuonea katika sehemu nyingine kama shingo na wakati mwingine mikono kuuma au kufa ganzi.Kama utaweza jitahidi kupima afya ya moyo wako pia.Mara kadhaa mshituko wa moyo unaweza kusababishwa na presha ya kupanda.Jaribu kucheki afya ya moyo ulete mrejesho tuone pa kuanzia kukusaidia.Magonjwa ya moyo yanaweza kupona pia!
tiba ndio ipi sasa aisee
 
Back
Top Bottom