Kama upo DSM ist is better utapata michongo plus uber na utapata wateja wa Uber plus ambao sio Uber maana bajaji Kuna Muda Mtu atahitaji mwende mbali then chombo kitashindwa kupiga Kazi lakini Kama upo mikoani bajaji inaweza kuwa sahihi but I'm not sureWakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye uzoefu wa hizi mishe kipi nianze nacho na kitakachonipa faida endelevu, uzuri nitakuwa naendesha mwenyewe maana sina mishe nyingine hapa town kwasasa. ushauri wenu ntaupokea na kuwashukuru. asanteni
Guta lipeleke shamba na usimamie mwenyewe.
Tafuta eneo wanapovuna hasa mahindi ama mpunga hutojutia japokuwa ni lazima ukubaliane na mazingira ya kuishi shamba.