Fauya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 262
- 479
Habari wana Jamvi,
Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini.
Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika kilimo hususani cha muda mrefu na ufugaji.