Naomba ushauri niwekeze mkoa gani?

Naomba ushauri niwekeze mkoa gani?

Umetudogosha sana wana kigoma Tanzania,yaani ufanye jazi kigoma kuwekeza uwekeze mkoa mwingine kigoma ina kila kitu,cheap labor,fertile soil,consistent rainfall,
 
Njoo uwekeze kwenye Zabibu Dodoma hutajutia,Ndo zao ambalo ukiwa na Hekta2 hukosi M25+ Kwa msimu,Kwa maelezo zaidi njoo Dm na nnakukaribisha uje ujionee mwenyewe na sio maneno mengi
uroto UKo dodoma sehemu gani
 
Hongera Umewaza vizuri wenzako huwa wanaza hivi baada ya kukwama na kuwa na maisha magumu.
 
Nipo hombolo bwawani,sehemu ambayo tunalima zabibu kuliko sehemu yoyote Africa,,,km27 kutoka bara bara ya lami ama tuseme mwendo wa dakika 40 Kwa gari
 
Nipo hombolo bwawani,sehemu ambayo tunalima zabibu kuliko sehemu yoyote Africa,,,km27 kutoka bara bara ya lami ama tuseme mwendo wa dakika 40 Kwa gari
Tupe details hapa mkuu kila mtu akija pm itakuwa usumbufu kwako
Amini utabarikiwa ikitokea madini yako yatamsaidia mtu moja tu
 
Back
Top Bottom