KIGOMA mjini?Kigoma ni mkoa unaokuja vizuri kiuchumi mi nakushauri wekeza hapo hapo kigoma hasa kwenye sekta ya ujenzi
Nunua vitenge kutoka Kigoma, nasikia ni bei nafuu sana my friend. Kisha nipostie kwenye basi niuze huku Mwanza.Habari wana jamvi,
Mimi nimeajiriwa serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini, nimeajiriwa mkoani kigoma wilaya ya kigoma mjini.
Nmekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika kilimo hususani cha muda mrefu na ufugaji
Ina maana vunja bei ni mjinga kufungua duka kigoma mjini? Ninachosema kigoma ina potential ya kukua kwa haraka kwa miaka ya ivi karibuni. Hii inatokana na ujenzi wa miundo mbinu unaoendelea kwa kasiKIGOMA mjini?
Uchumi unasikitisha huko. At least KASULU- na kibondo makambi ya wakimbizi yapo hivyo mzunguko wa hela ya mashirika at least. Lakini KIGOMA mjini panatia huruma
Fungua hapo hapo kituo chako cha kazi kilipoAsante mkuu unashauri wilaya gan kwa hapa kigoma
Fanya Namna mkuu tufanye biasharaNdio vitenge huku n bei ndogo
Mkuu mashamba ya kupanda zabibu yanapatikana kwa bei gani?Njoo uwekeze kwenye Zabibu Dodoma hutajutia,Ndo zao ambalo ukiwa na Hekta2 hukosi M25+ Kwa msimu,Kwa maelezo zaidi njoo Dm na nnakukaribisha uje ujionee mwenyewe na sio maneno mengi
Hapo hapo kigoma tafta eneo nunua mizinga fuga nyuki utanishukuru badae.Habari wana jamvi,
Mimi nimeajiriwa serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini, nimeajiriwa mkoani kigoma wilaya ya kigoma mjini.
Nmekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika kilimo hususani cha muda mrefu na ufugaji
Huko kasulu na kibondo hawawataki wakuja na ukianzisha biashara wanakuhijumu mpaka mtaji wako utaisha labda na wewe ujipendekeze kwaoKIGOMA mjini?
Uchumi unasikitisha huko. At least KASULU- na kibondo makambi ya wakimbizi yapo hivyo mzunguko wa hela ya mashirika at least. Lakini KIGOMA mjini panatia huruma
Kumbe unawafaham?.. Hata ukijipendekeza kwao watakupiga vita tu.Huko kasulu na kibondo hawawataki wakuja na ukianzisha biashara wanakuhijumu mpaka mtaji wako utaisha labda na wewe ujipendekeze kwao
Uko huko kigoma maana muhogo, karanga, mawese, mawese , ufugaji wa mbuzi na ngombe zaidi human capital Iko ya kutosha kukusaidia kazi zako.Habari wana Jamvi,
Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini.
Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani ambao nitaweza kupata unafuu wa kusimamia miradi yangu maana nipo interested na uwekezaji katika kilimo hususani cha muda mrefu na ufugaji.