Sehemu yoyote yenye miti na maji jumlisha nyuki wanafugwa.Mm navojua nyuki ni tabora kumbe hadi kigoma kuna ufugaji wa nyuki
Tupe details hapa mkuu kila mtu akija pm itakuwa usumbufu kwakoNipo hombolo bwawani,sehemu ambayo tunalima zabibu kuliko sehemu yoyote Africa,,,km27 kutoka bara bara ya lami ama tuseme mwendo wa dakika 40 Kwa gari
Huko Kigoma kuna kilimo Cha Mawese
Hasa karanga na maharageUko huko kigoma maana muhogo, karanga, mawese, mawese , ufugaji wa mbuzi na ngombe zaidi human capital Iko ya kutosha kukusaidia kazi zako.
Angalizo shughuli zote zinaitaji kufanya research na kujua utamaduni