tena hanithi hadi wa mk...ndu maana hata kunya hata weza huyu..utakuwa hanithi baadaye mkuu
Aah kupanga ni kuchagua ataamua mwenyeweHisia ni sawa na kichaa kumzuia asiokote uchafu, acha akomae atajijua mwenyewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kaua watu wengi kwa dakika kuliko hitlerama hakika kuna mamilion ya watoto washafia mabafuni, ustawi wa jamii wamejipanga vp kushughurikia hili..!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo aliekufa kwa nyeto nahisi alikuwa mwenyekiti/katibu wa ukanda aliokuwa anaishi kama alikuwa anaishi kanda ya ziwa why wanachama hawakujuzwa maana huo ulikuwa ni msiba mkubwa?!!Nimetoka kuzika jana tu jamaa kafa kwa nyeto...na wewe tutakuzika baada ya miezi mitatu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Tena pepo lenye mikono mia maana huwapa nguvu ya umma mikononi mwao kuangamiza future!!Sikuhizi punyeto imekuwa tatizo kwa vijana wengi. Sali sana kiongozi pepo chafu hilo linakuandama!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]atakufwa huyu jamoni(jamani).Aah kupanga ni kuchagua ataamua mwenyewe
sura zingine atakutana na mistari inayomruhusu kuzidisha kufanya, anafaa maombi tu hakuna kingine..Kila siku asome sura kumi
😱😱😱 Aaah aache mteja wa sabuni,Ni hatari sana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]atakufwa huyu jamoni(jamani).
Sent using Jamii Forums mobile app
kuanza rahisi ngum kuacha!![emoji33][emoji33][emoji33] Aaah aache mteja wa sabuni,Ni hatari sana
Atafute sober house kama watumia sembe😁😁😁
Ni vigumu najitaidi kuacha imeshindikana
Acha kujilegeza na kuwa goigoi wewe, imeshindikana vipi, kwanza unafanya kazi gani hiyo unapiga puuli 24/7? Mbona unatisha kijana? Ushauri: 1.ACHANA na kuangalia picha za kikubwa (video za ngono, kwa njia yoyote ile mfano iwe kwa simu janja yako, CD whatever. 2. Fanya mazoezi ya nguvu ya mwili. 3. Usipende kukaa upweke yaani peke yako faragha itakuchochea tu. 4. Kuwa mtu wa ibada, kuwa karibu na Mungu kumbuka jambo lenyewe hilo ni dhambi waweza kosa "pepo" ukijiendekeza.
atakula hata mafwii lakin hawez acha, kama mwenyewe anakili hawezi acha unategemea nn?!!Atafute sober house kama watumia sembe[emoji16][emoji16][emoji16]
😱😱😱ataacha tu labda ndo teenageratakula hata mafwii lakin hawez acha, kama mwenyewe anakili hawezi acha unategemea nn?!!
dawa ya ugonjwa huu apooze mikono tu hakuna namna nyingine!![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Msevu tu mkuu, angalau (mgegedo mmojatu/2/3/5) ili tusipoteze nguvu kazi ya taifa hili.Unafanya kazi gani/unajishughulisha na nini???
Na mshukuru mungu. Sijui wewe hukoKwema ndugu yangu,.vipi michakato?!