Naomba ushauri punyeto inaniua

Naomba ushauri punyeto inaniua

ama hakika kuna mamilion ya watoto washafia mabafuni, ustawi wa jamii wamejipanga vp kushughurikia hili..!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kaua watu wengi kwa dakika kuliko hitler
FB_IMG_1548608767553.jpeg


Sent using unknown device
 
Ni vigumu najitaidi kuacha imeshindikana

Acha kujilegeza na kuwa goigoi wewe, imeshindikana vipi, kwanza unafanya kazi gani hiyo unapiga puuli 24/7? Mbona unatisha kijana? Ushauri: 1.ACHANA na kuangalia picha za kikubwa (video za ngono, kwa njia yoyote ile mfano iwe kwa simu janja yako, CD whatever. 2. Fanya mazoezi ya nguvu ya mwili. 3. Usipende kukaa upweke yaani peke yako faragha itakuchochea tu. 4. Kuwa mtu wa ibada, kuwa karibu na Mungu kumbuka jambo lenyewe hilo ni dhambi waweza kosa "pepo" ukijiendekeza.
 
Back
Top Bottom