Naomba ushauri shule zipi nipeleke job application- teaching


Umeanza kuleta upuuzi wa FB na twitter huku, usirudie vinginevyo tutakupiga ban mara moja.........
 

Mkuu kwa kiingereza hiki watoto wetu wategemee elimu gani kutoka kwako lol! Umeniogopesha hata kukuelekeza shule ya kuomba kazi maana utaenda kuwalisha "matango pori" a.k.a. "Kasa" watoto wa watu.
 
Miaka sita bado una diploma tu,uliowafundisha tayari wana mastaz degree tayari..fanya mpango ujiendeleze mwalimu,ndio tatizo la walimu kuridhika ndio maana wanaishia kuwa maskini..kazi ya ualimu majanga!
 
Acha uvivu wa kufikiri. Shule usome wewe sisi tukufanyie utafiti? Hii ndiyo taabu ya watu wengine. Unayetaka kusoma au kusomesha wewe sisi tunahusikaje? Go do research yourself instead of wasting time asking people you don't even know.


Acha mambo yako hujui hata kuuliza wadau n part ya research,una elimu gani ww
 
Rearch ya kuuliza watu wenye ID zisizoonyesha uhalisia wao? Research gani hujui unaowauliza kama wana watoto au hawana,ni juzi tu tulikuwa tukijadili watu kuishi Marekani na kurudishwa bila hata cheti kimoja, Najua itakera wengi kama father of all nathani ni wajibu wangu kuwafundisha watoto kujitegemea ukiwemo wewe chawapoma unayeuliza kiwango changu cha elimu usijui bado kielimu wewe hufikii hata mjukuu wangu.



Acha mambo yako hujui hata kuuliza wadau n part ya research,una elimu gani ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…