Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu yaani kumlisha mtoto mdogo its an art work asikuambia mtu, yaani ukimlisha kimbumbumbu inakula kwako.Lazima uwe creative na pia usiwe mtu wa kukata tamaa eti ukimpa akikataa eti basi mtoto kumlisha unajaribu hata mara tano kwa kujipa interval ya muda flani.Ndugu yangu kumlisha mtoto lazima uwe dedicated,mfano mimi jana mtoto wangu ana mwaka na miezi 7 nilivotoka job jioni nikamuuliza dada vipi dogo amekula akaniambia kuwa mchana hajala aligoma kabisa ila amekunywa tu maziwa.Mimi nikamwambia apike ugali alete mezani mwanaume nianze kazi.Nakuambia wala hata humkabi ni kuimba pambio, mara nyimbo za kikurya mara kula ukimaliza tunaenda dukani, mara taaamu hiyo.Yaani lazima uwe dedicated la sivo ukijifanya kama wale wadada wa mjini eti mtoto amegoma ukamwacha mbona atabakia kwenye mifupa.Lazima uwe creative unapomlisha mtoto na wala usiogope eti unachafuka yaani in short vaa nguo za kazi kama unaona viwalo vyoko vitachafukahabari zenu wana JF
jaman wenye uzoefu naomba mnisaidie mtoto wangu wa miezi tisa yeye anapenda maziwa tu ukimpa vyakula vingine hataki hata kidogo anajitapisha chote naombeni msaada maana maziwa pekee kwa umri wake hayatoshi.
Ndugu yangu yaani kumlisha mtoto mdogo its an art work asikuambia mtu, yaani ukimlisha kimbumbumbu inakula kwako.Lazima uwe creative na pia usiwe mtu wa kukata tamaa eti ukimpa akikataa eti basi mtoto kumlisha unajaribu hata mara tano kwa kujipa interval ya muda flani.Ndugu yangu kumlisha mtoto lazima uwe dedicated,mfano mimi jana mtoto wangu ana mwaka na miezi 7 nilivotoka job jioni nikamuuliza dada vipi dogo amekula akaniambia kuwa mchana hajala aligoma kabisa ila amekunywa tu maziwa.Mimi nikamwambia apike ugali alete mezani mwanaume nianze kazi.Nakuambia wala hata humkabi ni kuimba pambio, mara nyimbo za kikurya mara kula ukimaliza tunaenda dukani, mara taaamu hiyo.Yaani lazima uwe dedicated la sivo ukijifanya kama wale wadada wa mjini eti mtoto amegoma ukamwacha mbona atabakia kwenye mifupa.Lazima uwe creative unapomlisha mtoto na wala usiogope eti unachafuka yaani in short vaa nguo za kazi kama unaona viwalo vyoko vitachafuka
habari zenu wana JF
jaman wenye uzoefu naomba mnisaidie mtoto wangu wa miezi tisa yeye anapenda maziwa tu ukimpa vyakula vingine hataki hata kidogo anajitapisha chote naombeni msaada maana maziwa pekee kwa umri wake hayatoshi.