Mchanganyiko wa asali,vitunguu,limao na tangawizi vyote visage kunywa kijiko kimoja asubuhi na jioniSalaam.
Wadau wa JF, nna Mdogo Ang wa myaka 17 anateseka Sana na shida ya tonsils.
Ametibiwa hospitali Mara kadhaa, Hasa akiwa anakaa shule Ila shida imebakia kuwa nzito akahamia day.
From there tatizo limepungua Ila humrudia Kila Mara Licha ya kutumia doze na kumaliza.
Kila akila kitu Cha baridi Kama matunda, maji ya kunywa, mkate au chochote ambacho hakifuki mvuke saa za jioni au hata mchana ikiwa hakuna jua kali basi kesho na keshokutwa yake dogo ni mgonjwa na ni mgonjwa Haswa.
Msaada wenu tafadhari.
Pole sana mkuu nakupa hii tumia mkaa 1 wa moto na maji glas 1Salaam.
Wadau wa JF, nna Mdogo Ang wa myaka 17 anateseka Sana na shida ya tonsils.
Ametibiwa hospitali Mara kadhaa, Hasa akiwa anakaa shule Ila shida imebakia kuwa nzito akahamia day.
From there tatizo limepungua Ila humrudia Kila Mara Licha ya kutumia doze na kumaliza.
Kila akila kitu Cha baridi Kama matunda, maji ya kunywa, mkate au chochote ambacho hakifuki mvuke saa za jioni au hata mchana ikiwa hakuna jua kali basi kesho na keshokutwa yake dogo ni mgonjwa na ni mgonjwa Haswa.
Msaada wenu tafadhari ikiwa Kuna anayefahamu tiba ASILI ya tatizo Hilo au ushauri zaidi kulingana na experience .
Pole sana mkuu nakupa hii tumia mkaa 1 wa moto na maji glas 1
Chukua huo mkaa 1 wenye moto dumbukiza humo kwenye maj glas 1 ule mda mkaa unalalamika kuzima we kunywa hayo maji kabla huo mkaa haujaacha kulalamika zoezi fanya mara moja tu lala zako ukiamka ukihisi hali bado ipo rudia zoezi tena utakuwa umepona
Nendeni kwa madaktari wengine wa hospital nyingine.
Badilisheni madaktari.
Iwapo shida itakuwa ni hiyo pekee huenda kuna life style anatakiwa kubadilisha matharani kuepuka kutumia vyakula na vinywaji baridi, kuepuka kufanya kazi za vumbi,
Kuepuka kuingiza vitu masikioni na mdomoni.
Kwa hayo Machache kwanza
Tonsils zisipotibika inageuka kitu inaitwa Peritonsillar abscess. Jaribu kumpeleka hospital wakanyonye uvimbe apate na Antibiotics atakuwa poa.Uvimbe ukipasuka wenyewe akameza ule usaa inaweza msababishia issue zingine za gharama zaidi.
Kama kasukutua na chumvi na maji na kapewa pain killers hajapona.Nenda hospital yenye huduma nzuri waangalie koo kama kuna kipochi kimejaa usaa kifyonzwe.Dah ...
Hospitali hizi tunaenda mbna wananipa tu vidonge ???
Niende hospitali kubwa au niende binafsi ?
Sio dawa wapo waliozikata zikarudi mara mbili ya mwanzo.
Itakuwa ilikuwa hospitali ya vichochoroni na vidokta uchwara vinavyovamia fani.....Sio dawa wapo waliozikata zikarudi mara mbili ya mwanzo.
Umempeleka hospitali gani hizo? Isijekuwa unampekeka vituo vya afya wewe unasema hospitali? Nenda hospitali zenye mabingwa! Kama Muhimbili, KCMC, Bugando, Agha Khan n.k.Dah ...
Hospitali hizi tunaenda mbna wananipa tu vidonge ???
Niende hospitali kubwa au niende binafsi ?
Ekenywa ni hospital ya kichochoroni?Itakuwa ilikuwa hospitali ya vichochoroni na vidokta uchwara vinavyovamia fani.....
Kuwa dokta haimaanishi unaweza kufanya upasuaji
Na hii ndio sababu.....
View attachment 3315795
Mpeleke hospital wakayakate.Yalimtesa sana hint yangu mpaka nilipompelek Regency wakayakata.Salaam.