Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
KeHuyo rafiki yako ni me au ke..?
ana mpenzi..?
Muda ndo kila kitu she will be fine as the time passes.
Kuna wengine maisha yao yanabadilika kabisa na hawawi tena kama zamani. Kwa mwanzisha thread: mwambie asijifungie mwenyewe ajaribu kuwa na watu muda wote. Ikiwezekana abadilishe mazingira kwa muda.Muda ndo kila kitu she will be fine as the time passes.
Sito danganya, mwacheni alie ili maumivu na uchungu umtoke.
Maana uchungu wa kupoteza watu wa karibu, ana uelewa yule anae pitia maumivu hayo.
Kikubwa tafuta mtu mzima aliye shika dini ya muhusika, au mwenye utu na akili.
ajaribu kumpa nasaha ili amrudishe katika utimamu wake.
ZIngatia, Kama wali kuwa Wana kaa nyumba Moja, basi mtoeni hapo haraka maana ni Kama ana ziona kumbukumbu.
ZITAKAZO zidi kumchoma.
Anapitia kipindi kigumu. Mungu amtie nguvu na kumpa faraja. Anaishi mkoa gani... Wana JF tukamtembeleeRafiki yangu amefiwa na mama mzazi na mdogo wake siku moja kwenye ajali. Anaumia sana, imepita wiki sasa, ila bado analia kila siku na kuongea peke yake mpaka tunaogopa.
Kama umeshawahi kufiwa na mtu wa karibu, nini kilikusaidia kutuliza maumivu na kuweza kusonga mbele?
View attachment 3220933
Amina, anaishi MorogoroAnapitia kipindi kigumu. Mungu amtie nguvu na kumpa faraja. Anaishi mkoa gani... Wana JF tukamtembelee