Naomba ushauri, uume kushindwa kusimama

Majigo kuja hapa utoe darsa

mkuu nimeandaa maelezo mazuri lakin nashangaa baada ya kusubmit ,sioni kitu
ndo hasara ya kutumia sim local hii...ah!
Ila husijali mdau , ngoja nijipange upya
 
Last edited by a moderator:
Unaweka inaumukia humo humo,zile ngozi zikigusana tu kitaamka tu.

hahah mkuu usifikiri wote wanaweza kulifanya hilo:.maana lazima uwe mtu wa hisia na ubongo utumike kutawala tendo!
 

nimepata kitu hapa.
 
Haahhh punyeto haina madhara aisee bro ongeza hisia ukiwa na mpnz wako waza hapo tuu na uwe unampapasa na na kumwangalia maumbile yake mzigo fastaaaaa
 
mnaosema nyeto inamadhara kwa kufanya uwahi
waongo na uenda hamjawahi shiriki nyeto
mi napga nyeto mwaka wa 11 sasa
lakn dudu inapiga kazi kiasi ambacho dem wangu ananiambia baby nimechoka
mzunguko wa kwanza tu..inakuwa patashika kunasuka
Njia nzuri ya kujifunza kuacha kupiga mihuri ni nyeto.
 


Kwa mwanamme wa kitanzania hii kitu si anaona unampa shida tu. Uyasemayo ni ya ukweli kabisa ila tatizo la watanzania wanafikiri tendo la ndoa ni la kijeshi, yaani unachapa tu kwapu kwapu kisha unarudia tena. Usikute hata huyo uliyempa ushauri kakasirika kwa nini unampeleka shule wakati yeye anataka solution ya haraka haraka bila ya kumlainisha mwenziwe kitandani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…