Chebe17
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 275
- 67
Mkuu hilo si tatizo but ni dalili ya tatizo tena si ajabu unapomaliza la kwanza unahisi usingizi kabixa au hata kulala hili ni kawaida kwa wanaume wengi kwani sperm huwa zinazalishwa hivyo uume usinyaa kusubiri sperm kujaa tena kwenye mayai na energy inayotumika ni nyingi mno kiasi cha kusababish usingizi mzito ila haitakiwi ichukue mda mrefu hivyo kwa kawaida ni dakk 5 hadi 15 tu...!!nakushauri utumie sana vyakula vya asili matunda mengi zaidi na mboga mboga za kijani pia kama unataka kudo usiku kwa mfano ni vyema ufanye maandalizi mapema kuanzia asubuh yani hakikisha maji unakunywa ya kutosha at list litre 2 na nusu na kuendelea chakula cha kutosha ule ushibe afu weka mawazo yako kwenye tendo pia mwandae mwenzio hakikisha we ni msafi na mwenzio pia msafi harufu mbaya mda mwingine husafabisha hamu kupotea...!ni hayo tu mkuu...!!
Hapo kwenye usafi umenena