Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

Naomba ushauri wa aina ya bati ya kuchaguala?

Habari wadau,

Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.

Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi

BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF, SAWA ila bei yake iko juu sana 39 (bati ya kawaida ya rangi) na pia nimekutana na wadau wanasema uaminifu sasa ni 00 kwani WAPO walozitumia na sasa ni nyeupe na walinunua kwa mawakala trusted.

KIBOKO anaaminika kiasi kwani anaingia na kutoka sokoni kwa ubora

BATI ZA KAWAIDA
SIMBA DUMU wengi wanazisifia sana ila mafundi wanaelezea changamoto ya migongo ya mwisho kuacha uwazi. (390k kwa bando)

ROOFING
Mpaka sasa sijapata changamoto yoyote ya bati hizi zinatokea Uganda na wengi wanazisfia mafundi wakiwemo 400k kwa bando

Ziada:
ANDO
Huyu ni mgeni sokoni anaonekana ni bora (hamna ushahidi mana Hakuna reference) ila serikali kamuamin kampa tenda ya ikulu Dodoma (sio sababu mana 10% hua inahusika pia) bei yake sasa maaaaaaaa bati moja la migongo ya kawaida anauza 49k🚶

Niende WAPI

KARIBUNI.
ANDO sio mgeni Sokoni, Yuko muda tuu, na Quality ya Mabati yake ni nzuri !!! Ungeniambia KINGLION , huty ndio mgeni sokoni kwa sasa !!
 
ANDO sio mgeni Sokoni, Yuko muda tuu, na Quality ya Mabati yake ni nzuri !!! Ungeniambia KINGLION , huty ndio mgeni sokoni kwa sasa !!
Kwangu Mimi mgeni ni Sinoray
 
Back
Top Bottom