Nasibu Thabith
Member
- Feb 5, 2017
- 37
- 76
Niliepo mbele yenu ni kijana mpambanaji, naombeni mnisaidie mawazo ya biashara ya mtaji kuanzia milioni moja hadi milioni tano.
Kazi yangu ya awali ilikua ni dereva bajaj, nimeifanya kwa muda na sasa nimeamua kuiacha kabisa.
Nimefanya hivyo baada ya kupata tatizo la maumivu ya mgongo yasio koma, hivyo imenilazimu niuze bajaj na kufanikiwa kupata vijichenji kidogo.
Hapa nawaza ni biashara gani nifanye ili nipate kuishi, mda huu sina idea yoyote sababu nilizoea kazi moja ya kukimbia barabarani.
Nipe wazo bila kujari sehemu gani ulipo, sababu mie ni mpambanaji naweza kuishi sehemu yoyote.
Asanteni.