Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu gani umetarget kutokana na mazingira uliyopo?Nahitaji kuuza vitu
ni huyu huyu mjasiria tumboKaka 2019 nililipia signals zako telegram ukanipeleka chaka
Wewe c Elisha chengula?
Daaah nimecheka sana.ni huyu huyu mjasiria tumbo
Muongozo wako mkuu, kwa huo mtaji hardware aanze na nini na niniFungua hardware , miezi sita ya kwanza hautakuwa busy ila watu wakishakujua utapenya
Mkuu hardware mtu hajawahi kukaa dar unamwambia afungue hardware kwa 4M?Fungua hardware , miezi sita ya kwanza hautakuwa busy ila watu wakishakujua utapenya
Forex wamesoma bure they're not that successful in trading ..... wamepata hela kwa kuuza signals na mentoring ya basic knowledge ambazo zinapatikana YouTubeumeshindwa kutoboa kwenye forex sasa umetafuta chaka lingine ulize watu
Chagua moja vifaa vya bomba au umemeMuongozo wako mkuu, kwa huo mtaji hardware aanze na nini na nini
sure, sasa kama iyo digital marketing anayotangaza kwamba mtu akifanya atakuwa anapata hela ndefu kwa mwezi jamani mambo sio rahisi hivyo ndo maana na yeye amefikiria nje ya box aanze kufundisha watu ili apige pesa nyingiForex wamesoma bure they're not that successful in trading ..... wamepata hela kwa kuuza signals na mentoring ya basic knowledge ambazo zinapatikana YouTube
(uvivu wetu tu wakujifunza na uvumilivu)
Hii 1m ya kulipa huku ukifungua genge la matunda na mboga mboga una nafasi kubwa sana ya kupata chchote kuliko kwenda kwa hawa wajanja wa mjini wakakulisha matango pori
Ukitaka issue za online weka bundle kasome udemy ingia qoara ingia YouTube etc jitoe Sadaka kweli kweli
Naongezeasure, sasa kama iyo digital marketing anayotangaza kwamba mtu akifanya atakuwa anapata hela ndefu kwa mwezi jamani mambo sio rahisi hivyo ndo maana na yeye amefikiria nje ya box aanze kufundisha watu ili apige pesa nyingi
Tatizo sisi bila fremu hatuoni kama tunafanya biashara embu tupe madiniNaongezea
Kuna mtu humu alisema ana laki 5 anataka wazo la biashara nimemwambia auze mafenesi kwa kuweka kwenye vikopo ananishangaa usoni
(Risk to reward) tumia formula hii kwenye kila biashara unataka kufanya
Hii ya mafenesi watu wanalala na 50k kila siku af sisi wengine tunakazana na fremu😂😂 interesting
Ukianguka unahitaji msaada kuinuka ila huyu mwengine hana wasiwasi anaanguka anainuka hapo hapo
Nataman niseme mengi
Sema mengi mkuuNaongezea
Kuna mtu humu alisema ana laki 5 anataka wazo la biashara nimemwambia auze mafenesi kwa kuweka kwenye vikopo ananishangaa usoni
(Risk to reward) tumia formula hii kwenye kila biashara unataka kufanya
Hii ya mafenesi watu wanalala na 50k kila siku af sisi wengine tunakazana na fremu[emoji23][emoji23] interesting
Ukianguka unahitaji msaada kuinuka ila huyu mwengine hana wasiwasi anaanguka anainuka hapo hapo
Nataman niseme mengi
Hahaha hahahhahaha acha utaniNenda dar na hiyo pesa utatoboa
Kivipi mkuuUtampoteza boss
Duuu!! Kumbe ndo hivyoKaka 2019 nililipia signals zako telegram ukanipeleka chaka
Wewe c Elisha chengula?
Hahahani huyu huyu mjasiria tumbo