1 1Yankee New Member Joined Jun 19, 2013 Posts 2 Reaction score 3 Jul 20, 2024 #1 Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza.
Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza.
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Jul 21, 2024 #2 We mwenyewe una ujuzi wa kazi za saloon??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 21, 2024 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 21, 2024 #4 1Yankee said: Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza. Click to expand... Kwanza tafuta wenye kuijuwa hiyo kazi watakaofanya kazi kwenye hiyo saluni, kila mmoja atakwambia ni vifaa gani anavyohitaji ili aifanye kazi yake kwa ubora.
1Yankee said: Habarini ndugu sangu, Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza. Click to expand... Kwanza tafuta wenye kuijuwa hiyo kazi watakaofanya kazi kwenye hiyo saluni, kila mmoja atakwambia ni vifaa gani anavyohitaji ili aifanye kazi yake kwa ubora.