Naomba ushauri wa biashara ya Saluni ya Kike

Naomba ushauri wa biashara ya Saluni ya Kike

Habarini ndugu sangu,

Nataka kufungua saluni ya kike naomba kufaa vifaa vinavyohitajika na makadirio ya gharama kwa kuanza.
Kwanza tafuta wenye kuijuwa hiyo kazi watakaofanya kazi kwenye hiyo saluni, kila mmoja atakwambia ni vifaa gani anavyohitaji ili aifanye kazi yake kwa ubora.
 
Back
Top Bottom